Arsene Wenger aliwahi kusema ukimpa mjinga cheo unazidi kumfanya mpumbavu zaidi, akimaanisha Mourinho - sasa amesema ataifunga United si Mou
Arsene Wenger bosi wa Arsenal amedai kuwa lengo ni kucheza dhidi ya timu badala ya meneja kuelekea mechi ya Jumamosi Ligi Kuu Uingereza dhidi ya Manchester United.


0 comments:
Post a Comment