Mshambuliaji wa Yanga Malimi Busungu amerejea kundini baada ya kocha mpya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kushika hatamu Jangwani
Baada ya klabu ya Yanga kuingia mkataba wa miaka miwili na kocha George Lwandamina mshambuliaji Malimi Busungu, ameamua kurudi kundini baada ya awali kukata tamaa kutokana na kusota benchi.
Busungu ameiambia Goal, amejipanga kurudi kwani aliondoka baada ya kuchoka kukaa benchi chini ya utawala wa kocha Hans van der Pluijm.


0 comments:
Post a Comment