Kumekuwa na tetesi nyingi juu ya mustakabali wa Mbrazili huyo kipindi cha dirisha la usajili, na madai kuwa Manchester United walikuwa wakifikiria kumsajili hapo awali na walitenga dau nono kwa ajili yake.
Juma lililopita ilidaiwa kuwa miamba wa Ufaransa Paris Saint-Germain walikuwa wakijipanga kutoa paundi milioni 200 kwa ajili ya Neymar, lakini Barcelona sasa wamefuta tetesi zote kuhusu mustakabali wake.
Neymar amekuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Barcelona akiwa amefunga mabao 77 katika mechi za La Liga na Ligi ya Mabingwa tangu alipotua klabuni hapo miaka mitatu iliyopita.
Tangu kampeni za 2014-15, Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wamefunga mabao 276 kwa pamoja katika michuano yote kwa miamba hao wa Hispania.

0 comments:
Post a Comment