Muhispania huyo aliondoka Bayern Munich ili kuinoa klabu hiyo ya Ligi ya Uingereza amekiri kufurahia sana kuipata fursa ya kuinoa Manchester City
Meneja mpya wa Manchester City Pep Guardiola ameapa kuleta raha katika uwanja wa Etihad alipoongea na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza Jumapili mchana
Muhispania huyo aliondoka Bayern Munich ili kuinoa klabu hiyo ya Ligi ya Uingereza amekiri kufurahia sana kuipata fursa ya kuinoa Manchester City.
“Nashukuru kwa kufika hapa, ni maskani yangu mpya. Nafurahi mno kuwa hapa na naishukuru Manchester City kwa kunipa fursa hii ya kipekee. Naimani kubwa tunakwenda kufurahia kwa pamoja,” Guardiola alisema katika utambulisho rasmi.


0 comments:
Post a Comment