•MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI NA KUTOKUPATA CHOO. ~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula,kama kula matunda,mboga za majani,maji kwa wingi, hata hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia. •MADHARA YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO NA BAWASIRI. -kupata upungufu wa damu (anemia) -Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo. -hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake. -kuathirika kisaikolojia - kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali. - Kupasuka kwa utumbo na kusababisha kifo. - Kitambi na uzito uliopindukia. - Kansa ya Utumbo. - Kukosa uwezo wa kubeba mimba Na Kwa ushauri zaidi juu ya nini ufanye kama una tatizo hilo............. Piga no 0717-915941/0769-050327
CHECK THIS
UNAELEWA NINI KUHUSU TATIZO LA KUTOPATA CHOO NA BAWASIRI"" JE WAJUA TATIZO LA KUTOPATA CHOO LAWEZA SABABISHA:- ~KANSA YA UTUMBO. ~BAWASILI (VINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA). ~KIFO, ~KUJAA GESI, ~VIDONDA VYA TUMBO NA ~KUPOTEZA NGUVU ZA KIUME NA UWEZO WA KUZAA KWA KINA MAMA?? Kati ya changamoto ya kiafya niliyokua nayo,ni kutopata choo na kupata choo kigumu kama cha mbuzi,na nilidhani ni kawaida kutopata choo kwa muda wa siku 3 hadi week,kumbe ni tatizo kubwa linaloweza kusababisha magonjwa kama Kansa ya utumbo,kuota kinyama sehemu ya haja kubwa(Hemorrhoids),vifonda vya tumbo(ulcers) na kutoa harufu mbaya na kali unapopumua(kujamba). Lakini baada ya kupata taarifa sahihi kuhusu chanzo cha tatizo,na kupata msaada wa suruhisho,namshukuru Mungu sasa hivi niko vizuri. WATU wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba.
AFTER LYON PRESIDENT HAS ANOUNCE THAT LACAZETTE WILL NOT JOIN ARSENAL BECAUSE OF MISS UNDERSTANDING BETWEEN TWO SIDE SO ARSEN WENGER HAS JOIN RACE WITH MANCHEXTER UNITED ON DRAXLER BID
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment